VYAMA, MASHIRIKA NA JUMUIYA ZA KITUME (VMJ)
Parokia ina Vyama, Mashirika na Jumuiya za Kitume (VMJ) kumi na tano. Vyama
na mashirika hayo ni:
- Utume wa Wanaume Katoliki (UWAKA),
- Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA),
- Vijana Wafanyakazi Wakatoliki (VIWAWA),
- Utume wa Wazee na Wastaafu wa Mt. Augustino,
- Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu (wakilelewa na WAWATA),
- Utume wa Kwaya Katoliki Tanzania (UKWAKATA Parokia),
- Ushirika wa Moyo Mtakatifu wa Yesu, Mt. Vinsenti wa Paulo,
- Shirika la Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili,
- Shirika la Mt. Alois Gonzaga (Watumishi wa Altare),
- Lejio ya Maria,
- Wanataaluma Wakristo Tanzania (Christian Professionals of Tanzania – CPT),
- Karismatiki Katoliki,
- Utume wa Familia Katika Kristo (Couples For Christ - CFC), na
- Chama cha Upendo cha Mt. Theresia wa Mtoto Yesu.