Kuapishwa kwa Kamati Tendaji ya HW ya Parokia
Baba Paroko Pd. Gilbert Bujiriri aliwaapisha Kamati Tendaji ya halmashauri ya walei parokia katika Dominika ya Matawi. Baada ya kuapisha pia alitoa zawadi kwa viongozi waliotumika Kamati Tendaji kwa nyakati tofauti tangu Mshikamano ilipokuwa Parokia Teule na Parokia 2015/2016
Kamati Tendaji ya halmashauli ya walei Parokia 2026-2029
Paroko akikabidhi zawadi kwa katibu mstaafu Ndg Silvani Mng'anya
Paroko akikabidhi zawadi kwa aliyekuwa katibu Msaidizi wa Parokia mama Antoinette Moshi
Paroko akikabidhi zawadi kwa familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Parokia Eng. Theophil Mfala
Paroko akikabidhi zawadi kwa aliyekuwa Katibu Msaidizi wa Parokia Ndg Gabriel Mruma
Paroko akikabidhi zawadi kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Parokia Mzee Fortunatus Kapinga
Paroko akikabidhi zawadi kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Parokia mama Christine Kwayu