HUDUMA YA OFISI
| SIKU |
ASUBUHI
|
MCHANA
|
JIONI
|
| JUMATATU | MAPUMZIKO | MAPUMZIKO | MAPUMZIKO |
| JUMANNE HADI IJUMAA |
HUDUMA | MAPUMZIKO | HUDUMA |
| JUMAMOSI | MISA ZA JNNK | MAPUMZIKO | MISA ZA JNNK |
Siku za Jumamosi zimetengwa kwa ajili ya Misa za wasimamizi wa Jumuiya na Kanda na matukio ya mafungo na Hija. Jumamosi za kwanza za mwezi inaadhimishwa Misa kwa heshima ya Moyo Safi wa Bikira Maria.